Soundcloud

CONFIRMED: Usijiulize tena Zlatan atajiunga timu gani baada ya PSG

Baada ya jina la Zlatan Ibrahimovic kuingia kwenye headlines muda mrefu, kuhusiana ni klabu gani atajiunga nayo msimu ujao baada ya kumalizana na klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa, leo June 30 staa huyo wa Sweden ameweka wazi klabu gani atajiunga nayo.
Zlatan ameweka wazi na kumaliza ule uvumi wa muda mrefu kuwa atajiunga na klabu ya Man United, leo June 30 2016 ametumia ukurasa wake wa Instagram kuandika kuwa klabu atakayojiunga nayo msimu ujao ni Man United, huku akiambatanisha na picha yenye logo ya Man United.
“Ni muda wa kuijulisha dunia kuwa klabu nitakayojiunga nayo ni Manchester United”
yh


Post a Comment