Soundcloud

10 Most Expensive Homes Of NBA Players

Rekodi za
mastaa wa michezo kumiliki vitu vya thamani kubwa sana yakiwemo magari
expensive, biashara za mavazi na hasa viatu na nguo zimekua zikiwekwa
kila wakati. Wapo mastaa wapya na wakongwe kama Michael Jordan
ni mmoja kati ya mastaa waliofanikiwa kuingia kwenye headlines za kuwa
na mkwanja mrefu baada ya kuendelea kushikilia deal yake na kampuni ya Nike ambao ni watengenezaji wa viatu vya Air Jordan au J 23.


Leo nakuletea list ya nyumba kumi kali sana za mastaa wa mpira wa kikapu duniani.

Post a Comment