http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Balaa kubwa laikumba kampuni ya Samsung

Kampuni ya utengenezaji wa vifaa vinavyotumia teknolojia ya umeme ya Samsung imetangaza kusitisha uuzaji wa bidhaa yake ya simu...Kampuni ya utengenezaji wa vifaa vinavyotumia teknolojia ya umeme ya Samsung imetangaza kusitisha uuzaji wa bidhaa yake ya simu ya mkononi ya Galaxy Note 7.
Galaxy Note 7 Moja ya simu ya Galaxy Note 7 iliyolipuka
Kampuni hiyo imepata taarifa kutoka nchi 10 ikiwemo Marekani na Korea Kusini zinazoeleza kuwa zimu hizo zimekuwa zikilipuka wakati wa kuweka chaji kwenye umeme huku tatizo hilo likidaiwa kuwepo kwenye betri za simu hizo.

Taarifa hiyo imekuja ikiwa ni wiki moja imesalia kabla ya mshindani wake mkuu katika soko la biashara kampuni ya Apple kuzindua toleo lake jipya la simu zaa aina ya iPhone.

“It is a big amount that is heartbreaking,” amesema rais wa kampuni hiyo Koh Dong-jin. 

Jumatano hii kampuni ya Samsung ilisema imesitisha usafirishaji wa simu hizo kwa kampuni tatu kuu zinazosafirisha simu hizo maeneo mbalimbali duniani ili kufanya uchunguzi zaidi. 

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Balaa kubwa laikumba kampuni ya Samsung
Balaa kubwa laikumba kampuni ya Samsung
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/09/xGalaxy-Note-7.jpg.pagespeed.ic.C37l2stssk.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2016/09/balaa-kubwa-laikumba-kampuni-ya-samsung.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2016/09/balaa-kubwa-laikumba-kampuni-ya-samsung.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy