Soundcloud

Kambi ya MeekMill yamshambulia Rapper aliyejinadi kumuandika mistari ya diss kwa The Game


Bifu la MeekMill na The Game limechukua sura mpya kabisa,
kambi ya Meek Mill imemjia juu rapper,  Beanie Sigel aliyedai kuwa
amemwandikia MeekMill mistari kwenye wimbo ambao ulikuwa ni Diss kwa The
Game.
Beanie Sigel alijikuta akichezea kichapo kutoka kwa watu wa kwenye
kambi ya MeekMill kwenye tamasha la “Bad Boy Family Reunion”
huko Philadelphia.

Akifanya mahojiano na Hip Hop Since 1987, Mmoja ya
watu kutoka kwenye kambi ya Meek anayedaiwa kumpiga Beanie amesema kuwa
walimuachia akaingia studio baadae akaanza kutoa siri za kambi yao
ambazo amedai ni bora asiziseme huku akidai kuwa hajamuandikia mtu
mistari aliachiwa aingize verse yake tu.

“Then some other shit came into play that I don’t want to talk about,
But at the end of the day, you can’t put me on front street when I’m a
real ni**a, bro. That’s just the bottom line. You’re not gonna try to
play me or play my family out or play my ni**as out for a nut-ass ni**
named Game. You broke the code of ethics in the streets, Beans.”
Alielezea.

Haikuishia hapo, Baade Beanie alipanda kuperform kwenye tamasha hilo ambapo hakukubali kumuacha Meek Mill hivi hivi ,


“The real king is back,” Alisema . “Philly, we will be represented right. I’ma make sure of it.”


Post a Comment