Soundcloud

MTV wamtanga Idris kuwania nafasi ya ku’host tuzo za MTV MAMA 2016

Huenda Mshindi wa Big Brother 2014, Idris Sultan akawania akawa host wa tuzo kubwa zaidi Afrika MTV MAMA 2016.
“Would you nominate@idrissultan to HOST @mtvmamas on 22.10.16 #mtvmama2016 NAY or YAY.” MTV wameandika kwenye mitandao yao ya kijamii.
Wengine wanaowania nafasi ya ku’host tuzo hizo zitakazofanyika Oktoba 22 Afrika Kusini. ni pamoja na Basket Mouth (Nigeria), Idris Elba (Uingereza) na Kevin Hart (Marekani).