Soundcloud

Snoop Dogg apata tuzo ya heshima ya BET Hiphop Awards 2016Tuzo pendwa za muziki wa Hip Hop, BET HIP HOP Awards 2016, zilitolewa usiku wa tarehe 17/9 katika ukumbi wa Cobb Energy Performing Arts Centre jijini Atlanta.
snoop-dogg-kendrick-lamar-bet-hha
BET HIPHOP AWARDS huja baada ya kumalizika kwa tuzo BET AWARDS.
snoop-dogg-kendrick
Rapper mkongwe, Snoop Dogg kwa mwaka huu amejinyakulia tuzo ya Heshima ya, I Am Hip-Hop. Baada ya kupokea tuzo hiyo, Snoop Dogg aliamua kuwapa moyo wasanii wachanga katika kuusukumu utamaduni wa Hip hop.

Kendrick Lamar naye alichukua tuzo ya Lyricist of the Year. Baada ya kupata tuzo hiyo aliamua kutoa heshima yake kwa Snoop Dogg na kufunguka,” He mastered the game through tests and challenges that earned him the respect of a college professor, except his game came from the streets, He put (me) on game, so I would avoid the same pitfalls. … Snoop Dogg was the God, and continues to be so.”
Host wa tuzo alikuwa DJ Khaled na palikuwa na performances kutoka kwa wasanii kama Gucci Mane, T.I., Young Thug, Travis Scott, na Desiigner.