Soundcloud

Utapenda muonekano mpya wa Dayna Nyange kwenye picha hizi

Jumanne hii, Dayna Nyange ameamua kuwafurahisha mashabiki wake kwa kuachia picha hizi za kuvutia.
Dayna
Dayna anafanya vizuri na wimbo ‘Komela’ aliomshirikisha Billnas.
nyange