Soundcloud

Video: Brown Mauzo Ft. Alikiba – Nitulize

Msanii kutoka nchini Kenya ajulikanae kama Brown Mauzo
ameachia video mpya wimbo unaitwa “Nitulize”, amemshirikisha King kutoka
Tanzania Alikiba. Video imefanyika South Africa imeongozwa na Nicorux.