Soundcloud

Drake asitisha ziara yake ya ‘Summer sixteen’ kutoka na maumivu ya kifundo cha mguu ‘ankle

Drake amelazimika kusogeza mbele tarehe za show za ziara yake ya ‘Summer sixteen’ baada ya madaktari kumshauri apumzike ili kurejesha unafuu kwenye tatizo lake la kifundo cha mguu ‘Ankle’
Drake ametoa taarifa hiyo mbaya kwa mashabiki wake wa miji ya Toronto, Philadelphia, and Newark kwenye OVO blog.
drake-tour-letter
Pia mkali huyo wa ‘One dance’ ameahidi kuwa ataachia kazi mpya atakaporudi kwenye ziara hiyo.