Soundcloud

Mayweather aonyesha jeuri ya fedha

Floyd Mayweather ni kama ATM Mashine inayotembea.


mayweather


Wikiendi hii mwanamasumbwi huyo mstaafu alimmwagia rafiki yake wa
muda mrefu Lil Kim zaidi ya dola 9,000 wakati akitumbuiza kwenye tamasha
la Bad Boy Family Reunion huko Las Vegas.Jeuri hiyo ya fedha ya Mayweather haijaishia hapo amepost kipande cha
video kwenye mtandao wake wa Instagram kinachoonesha madola akiwa
ameyapanga mezani kitendo kinachoonekana kuwatoa udenda baadhi ya watu.Tazama video hiyo hapo chini.


Post a Comment