Soundcloud

VIDEO: Tazama kionjo cha video ya ‘Nisamehe’ ya Barakah The Prince na Alikiba

Video ya wimbo wa Barakah The Prince aliomshirikisha Alikiba, Nisamehe
itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza, Jumanne, Oktoba 4 kupitia MTV
Base. Video hiyo ilifanyika Afrika Kusini na kuongozwa na Meji Alabi.
Chini ni kionjo chake.