Soundcloud

VIDEO:Lady Jaydee - Sawa Na Wao (Official Music Video)Msanii mkongwe wa muziki, Lady Jaydee, ameachia video ya
wimbo wake mpya ‘Sawa na Wao’. Video imeandaliwa na kampuni ya
Phenomenal chini ya director, Meji.