Soundcloud

VIDEO:Matukio 10 ya vifo vya kusikitisha vilivyowahi kutokea ulingoni.

Kila mchezo huwa na madhara yake japo kabla y madhara kutokea watu hushangilia na hata yasipotokea kabisa watu hufurahi na kusahau kuwa chochote chaweza kutokea na kuleta majonzi.Tumeshuhudia vifo michezoni,mpira wa miguu,myereka n.k.
Hapa nakuletea Matukio kumi ya vifo katika Mchezo wa Ngumi Duniani.Bonyeza PLAY Kutazama Video.