http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

AZAM: JIANDAENI KUSHANGILIA LEO DHIDI YA URA YA UGANDA

KLABU tajiri zaidi kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ambayo uwanja wake umepitishwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), A...


KLABU tajiri zaidi kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ambayo uwanja wake umepitishwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Azam FC, leo Jumamosi usiku inacheza fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya URA ya Uganda mjini hapa.

Mechi hiyo inayopigwa kwenye Uwanja wa Amaan, inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku wadau wengi wakiipa Azam nafasi kubwa ya kubeba ndoo kutokana na uwezo ulioonyeshwa na timu hizo tangu kuanza kwa michuano hiyo Desemba 29, mwaka jana.

Azam ilitinga fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuitoa Singida United, huku URA ikitangulia kuitoa Yanga.

Kocha wa Azam, Aristica Cioaba raia wa Romania, ameliambia Championi Jumamosi kuwa; “Tulikutana na URA katika hatua ya makundi na wakatufunga bao 1-0, lakini safari hii tumejipanga vizuri, ninaamini tutaibuka mabingwa wa michuano hii kwa mara nyingine tena.”
Naye Kocha wa URA, Nkata Paul amesema yupo tayari kwa lolote litakalotokea katika mechi hiyo lakini lengo lake kubwa ni kuiona timu yake hiyo ikiibuka na ushindi.
Azam ikitwaa ubingwa itakuwa mara ya nne kwao kufanya hivyo, lakini kama URA ikitwaa ubingwa hiyo itakuwa mara ya pili kwao.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: AZAM: JIANDAENI KUSHANGILIA LEO DHIDI YA URA YA UGANDA
AZAM: JIANDAENI KUSHANGILIA LEO DHIDI YA URA YA UGANDA
https://4.bp.blogspot.com/-8KhDspWdPAA/Wlm_ecycr5I/AAAAAAAAEEI/pY3O1Gn0UzQrpSSjjd-M6RhttERWLWfGgCLcBGAs/s400/271A6132.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-8KhDspWdPAA/Wlm_ecycr5I/AAAAAAAAEEI/pY3O1Gn0UzQrpSSjjd-M6RhttERWLWfGgCLcBGAs/s72-c/271A6132.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/azam-jiandaeni-kushangilia-leo-dhidi-ya.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/azam-jiandaeni-kushangilia-leo-dhidi-ya.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy