Soundcloud

Baada ya kutesa kwenye filamu, Lupita Nyong’o aja na mpango mpya


Lupita Nyong’o licha ya kuwa muigizaji lakini pia ameamua kujiingiza katika uandishi wa vitabu kuonyesha uwezo wake.
Mrembo huyo wa Kenya anatarajia kuachia kitabu chake kiitwacho ‘Sulwe’ ambapo ametumia lugha ya kabila la Kijaluo ikiwa na maana ya Nyota.
Lupita kupitia mtandao wa Twitter amethibitisha kuachia kitabu hiko January mwakani ambapo ndani yake amemzungumzia maisha ya binti mdogo wa miaka mitano kutoka nchini Kenya.
Kupitia mtandao huo Nyong’o ameandika:
I am pleased to reveal that I have written a children’s book! It’s called “Sulwe”! Sulwe is a dark skinned girl who goes on a starry-eyed adventure, and awakens with a reimagined sense of beauty. She encounters lessons that we learn as children and spend our lives unlearning. This is a story for little ones, but no matter the age I hope it serves as an inspiration for everyone to walk with joy in their own skin. Coming January 2019!!

Post a Comment