http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Carlos Tevez ameondoka klabu ya Shanghai Shenhua amejiunga na timu hii

Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na ambaye aliwahi kuchezea vilabu mbalimbali vikubwa Duniani kama  Manchester United, Manchester...


Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na ambaye aliwahi kuchezea vilabu mbalimbali vikubwa Duniani kama  Manchester United, Manchester City  na Juventus Carlos Tevez amerejea katika klabu yake ya utotoni Boca Juniors inayoshiriki ligi kuu ya Argentina mara baada ya kuondoka nchini China.
Mapema September mwaka jana aliyekua Kocha mpya wa klabu ya Shanghai Shenhua, Wu Jingui alimtupia vijembe Carlos Tevez kwa kuzidi uzito na kusema kwamba straika huyo hatojumuishwa kikosini mpaka aimarishe uimara wake.
Tevez alihamia katika ligi ya China mwezi December 2016 na kuwa mchezaji anaelipwa mshahara mkubwa kuliko wote.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Carlos Tevez ameondoka klabu ya Shanghai Shenhua amejiunga na timu hii
Carlos Tevez ameondoka klabu ya Shanghai Shenhua amejiunga na timu hii
https://1.bp.blogspot.com/-KWlPXT3fPRI/WlDDTLdSV7I/AAAAAAAAD-8/X-Yb4Rru0cEWg4dcMZ_RIqwtcyF6VFA4ACLcBGAs/s400/teve-660x400.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-KWlPXT3fPRI/WlDDTLdSV7I/AAAAAAAAD-8/X-Yb4Rru0cEWg4dcMZ_RIqwtcyF6VFA4ACLcBGAs/s72-c/teve-660x400.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/carlos-tevez-ameondoka-klabu-ya.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/carlos-tevez-ameondoka-klabu-ya.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy