http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

CHADEMA WAREJEA ULINGONI KUSHIRIKI UCHAGUZI KINONDONI NA SIHA

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeridhia na kurejea kushiriki wa uchaguzi mdogo wa wabunge katika majimbo ya Kinondoni na S...

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeridhia na kurejea kushiriki wa uchaguzi mdogo wa wabunge katika majimbo ya Kinondoni na Siha baada ya kutangaza kuwa hawatashairiki uchaguzi huo mpaka pale mapendekezo yao yatakaposikilizwa.

Uamuzi huo wa kushiriki uchaguzi umetangazwa le0 Januari 19, 2017 na Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema kupitia taarifa yake kwa umma.

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA, KUHUSU UCHAGUZI MDOGO WA KINONDONI NA SIHA.
Kamati Kuu ya Chama imemaliza Vikao vyake Leo tarehe 19 Januari, 2018 na imefanya uamuzi wa kushiriki kwenye uchaguzi mdogo kwenye majimbo ya Kinondoni na Siha unaotarajiwa kufanyika tarehe 19 Februari, 2018.

Baada ya uamuzi huu kufanyika , Kamati Kuu imewateua wagombea wa Majimbo hayo kama ifuatavyo;
1. Jimbo la Kinondoni ameteuliwa Mhe. Salum Mwalim Juma
2. Jimbo la Siha ameteuliwa Bwana Elvis Christopher Mosi

Wagombea wote wameshachukua fomu za uteuzi kutoka kwa wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo husika na watazirejesha kesho Jumamosi tarehe 20 Januari 2018 , kwa ajili ya uteuzi.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: CHADEMA WAREJEA ULINGONI KUSHIRIKI UCHAGUZI KINONDONI NA SIHA
CHADEMA WAREJEA ULINGONI KUSHIRIKI UCHAGUZI KINONDONI NA SIHA
https://1.bp.blogspot.com/-nVwJDP9oiO0/WmIEtBxy_lI/AAAAAAAAEME/L7ibQu0Ez1M3ZZobx6kE8FpagTgBo7CjACLcBGAs/s320/CHADEMA-1-1024x683.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-nVwJDP9oiO0/WmIEtBxy_lI/AAAAAAAAEME/L7ibQu0Ez1M3ZZobx6kE8FpagTgBo7CjACLcBGAs/s72-c/CHADEMA-1-1024x683.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/chadema-warejea-ulingoni-kushiriki.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/chadema-warejea-ulingoni-kushiriki.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy