http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Davido ang’ara tuzo za SoundcityMVP

Sio tu! kuingiza Naira milioni 500 kupitia tamasha lake la muziki la  30 Billion Concert lililofanyika mwaka 2017 kwa kuhusisha nchi ka...


Sio tu! kuingiza Naira milioni 500 kupitia tamasha lake la muziki la 30 Billion Concertlililofanyika mwaka 2017 kwa kuhusisha nchi kadhaa barani Afrika, Ulaya na Marekani. Vile vile mkali huyo ameikuba kinara kwa kuzoa tuzo tatu za muziki za Soundcity MVP Awards 2017 zilizofanyika nchini Nigeria, usiku wa kuamkia leo maeno ya Eko Convention Centre.

Kupitia ngoma yake ya “IF” iliyotoka mwaka 2017, Davido ameweza kushida tuzo kama ‘Song of the Year’, ‘Video of the Year’ na tuzo ya  ‘African Artist of the Year Award’. Wengine walionyakuwa tuzo za Soundcity MVP Awards 2017 ni  pamoja na Maleek Berry kama ‘Best New Act’, Tiwa Savage ‘Best Female MVP’, Diamond Platnumz ‘Best Male MVP’ na Wakati yuzo ya ‘ Best Collaboration’ ikaenda kwa Sarkodie na Runtown kupitia ngoma ya “Painkiller”.
Orodha ya washindi wa tuzo ya Soundcity MVP Awards 2017;
Best Collaboration: Sarkodie ft. Runtown – Painkiller
Best New Act: Maleek Berry
Digital Artist of the Year: Wizkid
Best Group: Distruction Boyz
Listener’s Choice: Olamide – Wo
Viewer’s Choice: Runtown – Mad Over You
Best Hip Hop: Cassper Nyovest
Best Pop: Maleek Berry
Producer of the Year: Young Jonn
Song of the Year: Davido – IF
Video of the Year: Davido – IF
Best Female MVP: Tiwa Savage
Best Male MVP: Diamond Platnumz
African Artist of the Year: Davido

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Davido ang’ara tuzo za SoundcityMVP
Davido ang’ara tuzo za SoundcityMVP
https://4.bp.blogspot.com/-PbaN5x4shDU/WlnLYPkEAfI/AAAAAAAAEE8/pWD_rb16PK81lYcf5w3TQuTjufMZKErbQCLcBGAs/s400/davido.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-PbaN5x4shDU/WlnLYPkEAfI/AAAAAAAAEE8/pWD_rb16PK81lYcf5w3TQuTjufMZKErbQCLcBGAs/s72-c/davido.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/davido-angara-tuzo-za-soundcitymvp.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/davido-angara-tuzo-za-soundcitymvp.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy