http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

HESLB YABORESHA MIFUMO YA UTOAJI MIKOPO YA WANAFUNZI

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawataarifu wanafunzi wanaonufaika na mikopo kuwa  wanatakiwa kuendelea kuingiza taa...

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawataarifu wanafunzi wanaonufaika na mikopo kuwa  wanatakiwa kuendelea kuingiza taarifa zao kwa njia ya mtandao kupitia http://olas.heslb.go.tz  hadi tarehe 31 Januari, 2018.
Wanafunzi wanufaika wanapaswa kufanya yafuatayo:
•    Tembelea mtandao wa http://olas.heslb.go.tz
•    Fungua kiunganishi cha “Click here to start” kwenye maelezo ya mwanzo ya kukaribisha.
•    Weka namba yako ya mtihani ya Kidato cha Nne na mwaka uliofanya mtihani huo, kwa mfano: S0129.0004.2020
•    Weka namba yako ya akaunti ya Benki kama ilivyowasilishwa HESLB au kama inavyoonekana kwenye “signing sheet”
•    Ingiza neno jipya la siri na ulithibitishe.
•    Baada ya kuthibitisha, ukurasa wa kuweka picha yako “passport size photo” utafunguka.
•    Weka picha yako ya rangi katika ukubwa wa 120x150
•    Wanufaika wapya wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2017/2018 hawatahusika kwenye zoezi hili kwa vile taarifa zao ziliwasilishwa wakati wa kuomba mikopo.

Imetolewa na:
Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
Tarehe 26/01/2018

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: HESLB YABORESHA MIFUMO YA UTOAJI MIKOPO YA WANAFUNZI
HESLB YABORESHA MIFUMO YA UTOAJI MIKOPO YA WANAFUNZI
https://1.bp.blogspot.com/-mTYwlHqAA6k/Wmt4olqn-nI/AAAAAAAAESk/wcq2C-5H7GIGHGmHqBJzpihrNW51nSRFACLcBGAs/s320/2017-02-25-090641.762911MIKOPO-HESLB.png
https://1.bp.blogspot.com/-mTYwlHqAA6k/Wmt4olqn-nI/AAAAAAAAESk/wcq2C-5H7GIGHGmHqBJzpihrNW51nSRFACLcBGAs/s72-c/2017-02-25-090641.762911MIKOPO-HESLB.png
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/heslb-yaboresha-mifumo-ya-utoaji-mikopo.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/heslb-yaboresha-mifumo-ya-utoaji-mikopo.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy