http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

KISA KUMPOSTI LULU… KIBA ASHAMBULIWA NA MASHABIKI

KATIKA kile kilichoonekana kwamba amemkumbuka aliyewahi kuwa mpenzi wake zamani  ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, Elizabeth M...

KATIKA kile kilichoonekana kwamba amemkumbuka aliyewahi kuwa mpenzi wake zamani  ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, Elizabeth Michael ‘Lulu’, staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba hivi karibuni alishindwa
kuficha hisia zake na kuweka picha ya mrembo huyo ambapo baadhi ya mashabiki walimshambulia huku wengine wakimpongeza.

Kiba aliweka picha hiyo ya Lulu kwenye ukurasa wake wa Instagram bila kuandika kitu chochote na kupata mashabiki wengi ambao walianza kuchangia huku wengine wakimnanga kwamba huenda anatafuta kiki na wengine wao wakionesha kusikitishwa na Lulu kuwa gerezani. “Sisi tunataka kazi mpya hatutaki mambo haya, au ni kiki! Kama ni Lulu basi tunaomba mtuletee picha mpya za alivyo sasa huko gerezani jamani,” yalisomeka baadhi ya maoni.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: KISA KUMPOSTI LULU… KIBA ASHAMBULIWA NA MASHABIKI
KISA KUMPOSTI LULU… KIBA ASHAMBULIWA NA MASHABIKI
https://1.bp.blogspot.com/-JoDGJv7XSRo/WmHAAX17AsI/AAAAAAAAEI0/WcmeiYclEYYRvP-3vMYQAfxyURYNcvqHwCLcBGAs/s320/ALIKIBA.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-JoDGJv7XSRo/WmHAAX17AsI/AAAAAAAAEI0/WcmeiYclEYYRvP-3vMYQAfxyURYNcvqHwCLcBGAs/s72-c/ALIKIBA.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/kisa-kumposti-lulu-kiba-ashambuliwa-na.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/kisa-kumposti-lulu-kiba-ashambuliwa-na.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy