http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Korea Kusini yaitaka K Kaskazini kueleza hatua ya kufuta mkutano wao

Korea Kusini imeitaka Korea Kaskazini kueleza ni kwa nini imefutilia mbali mkutano ambao ungejadili tamasha za kitamaduni wakati wa miche...

Korea Kusini imeitaka Korea Kaskazini kueleza ni kwa nini imefutilia mbali mkutano ambao ungejadili tamasha za kitamaduni wakati wa michezo ya Olimpiki ya msimu wa baridi mwezi ujao.
Utawala wa Pyongyang ulikuwa umekubali kutuma wajumbe saba kuchunguza maeneo ambayo yangetumika lakini siku ya Ijumaa, utawala wa Pyongyang ukasema kuwa ziara hiyo imefutiliwa mbali.
Ombi la Korea Kusini la kutaka majibu ya hatua kufikia sasa halijajibiwa na Korea Kaskazini.
Maafisa wa mataifa hayo mawili wanakutana na wanachama wa kamati kuu ya Olimpiki mjini Geneva, kujadili jinsi Korea Kaskazini inaweza kushiriki mashindano hayo ya Olimpiki.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Korea Kusini yaitaka K Kaskazini kueleza hatua ya kufuta mkutano wao
Korea Kusini yaitaka K Kaskazini kueleza hatua ya kufuta mkutano wao
https://2.bp.blogspot.com/-UvmvDboj9X8/WmNHajy9oNI/AAAAAAAAEMw/HMxz3pR78A45xO3Ub7FsE553k4iI0IWbgCLcBGAs/s400/_99675577_812445dd-2f83-45ae-8e33-eb325d5d433d.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-UvmvDboj9X8/WmNHajy9oNI/AAAAAAAAEMw/HMxz3pR78A45xO3Ub7FsE553k4iI0IWbgCLcBGAs/s72-c/_99675577_812445dd-2f83-45ae-8e33-eb325d5d433d.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/korea-kusini-yaitaka-k-kaskazini.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/korea-kusini-yaitaka-k-kaskazini.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy