Soundcloud

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) yatahadharisha kuwepo kwa upepo mkali

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) imetoa tahadhari ya upepo mkali maeneo ya Pwani kuanzia tarehe 7 na tarehe 8 upepo mkali unaozidi kasi ya KM 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanazidi Mita 2.1.
Soma taarifa kamili:

Post a Comment