http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Man United kumtambulisha Sanchez leo, Adidas yampa namba ya George Best

Mshambuliaji wa kimataifa raia wa Chile, Alexis Sanchez yupo tayari kutambulishwa na klabu ya Manchester United hii leo kama mchezaji hal...


Mshambuliaji wa kimataifa raia wa Chile, Alexis Sanchez yupo tayari kutambulishwa na klabu ya Manchester United hii leo kama mchezaji halali wa timu hiyo huku akitarajiwa kupokea kitita cha paundi 450,000 kwa wiki.
Alexis akiwa na namba 7 ndani ya  United tayari mashabiki wameanza kumiminika katika duka la Adidas mtaa wa Oxford jijini London
Wakati utambulisho wa Sanchez ukingojewa tayari mashabiki wameshaanza kuvamia maduka na kujinunulia jezi ya mchezaji huyo ambayo ni namba 7 sawa na ile waliyokuwa wakivaa wachezaji wenye majina makubwa ndani ya United kama George Best, Eric Cantona, David Beckham na Cristiano Ronaldo. Na maduka ya Adidas yaliyopo mtaa wa Oxford jijini London.

Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger hapo jana kupitia kikao chake na waandishi wa habari amethibitisha Sanchez wamemalizana na United.
Wenger amesema “Nimeufanyia kazi uhamisho kwa miaka sasa 30. Lakini kwa wakati wowote,dakika yoyote kunakitu kitashuhudiwa na hii ndiyo maana halisi ya usajili,”amesema Wenger.
Sanchez atakuwa akilipwa kwa wiki paundi 350,000  ukijumuisha na haki ya matangazo ambayo ni paundi 100,000  inakuwa jumla ya paundi 450,000.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Man United kumtambulisha Sanchez leo, Adidas yampa namba ya George Best
Man United kumtambulisha Sanchez leo, Adidas yampa namba ya George Best
https://4.bp.blogspot.com/-yyQa9Mz5NqM/WmH-Nds0DzI/AAAAAAAAELA/zO98Pplm4FYh_EOg_fut7oJ1qZee3p4CQCLcBGAs/s400/484D905100000578-5287609-image-a-13_1516349665034%2B%25281%2529.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-yyQa9Mz5NqM/WmH-Nds0DzI/AAAAAAAAELA/zO98Pplm4FYh_EOg_fut7oJ1qZee3p4CQCLcBGAs/s72-c/484D905100000578-5287609-image-a-13_1516349665034%2B%25281%2529.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/man-united-kumtambulisha-sanchez-leo.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/man-united-kumtambulisha-sanchez-leo.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy