http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Mzimu wa Countinho kuitafuna Liverpool

Mkurugenzi mkuu wazamani wa klabu ya Liverpool, Christian Purslow amesema huwenda timu hiyo ikampoteza meneja wake, Jurgen Klopp na kujiu...


Mkurugenzi mkuu wazamani wa klabu ya Liverpool, Christian Purslow amesema huwenda timu hiyo ikampoteza meneja wake, Jurgen Klopp na kujiunga na moja kati ya wapinzani wao wakubwa endapo watashindwa kutimiza malengo ya Mjerumani huyo.
Hayo yamekuja baada ya Liverpool kumuuza kiungo wake, Philippe Countinho kwenda Barcelona kwa gharama ya paundi milioni 145 mwishoni mwa wikiendi hii hivyo, Purslow anaamini the Reds watalazimika sasa kutumia fedha hizo kufanya usajili utakao leta tija ndani ya kikosi hicho.
“Nashindwa kufahamu hasa kwa nini wanashindwa kufanya usajili utakaokuwa na msaada mkubwa ndani ya kikosi kama wameweza kumuuza mchezaji kwa gharama kubwa,”amesema Purslow ambaye aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa klabu ya Liverpool mwaka 2009 na 2010.
“Ninahakika, Jurgen Klopp bilashaka atakwenda kuwa kocha kati ya moja ya klabu kubwa na hasimu wa Liverpool kama watashindwa kumtimizia malengo yake.”
Klabu za Manchester na Chelsea huwalinda wachezaji wao na kutoruhusu kuwapoteza kirahisi ni tofauti ukilinganisha na Liverpool, Arsenal na Tottenham Hotspur kwa mujibu wa Purslow.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Mzimu wa Countinho kuitafuna Liverpool
Mzimu wa Countinho kuitafuna Liverpool
https://2.bp.blogspot.com/-uwSvVek0vrU/WlSb0FnSi-I/AAAAAAAAECQ/PVMxfmYxG9wqaRy2Wfl0l0UHbYFymz13gCLcBGAs/s400/Liverpool.png
https://2.bp.blogspot.com/-uwSvVek0vrU/WlSb0FnSi-I/AAAAAAAAECQ/PVMxfmYxG9wqaRy2Wfl0l0UHbYFymz13gCLcBGAs/s72-c/Liverpool.png
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/mzimu-wa-countinho-kuitafuna-liverpool.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/01/mzimu-wa-countinho-kuitafuna-liverpool.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy