Soundcloud

Picha: Namna mastaa watakavyokaa katika tuzo za Grammy 2018

Kuelekea katika ugawaji wa tuzo za Grammy 2018 wikiendi hii New York, Marekani maeneo ya Madison Square Garden. Tayari waandaji wa tuzo hizo wameonyesha jinsi washiriki na waudhuriaji watakavyakaa.
Tuzo hizo zinatarajiwa kuhudhuriwa na Beyonce, JAY-Z, Lady Gaga, Elton John, Tony Bennett, Miley Cyrus, Sam Smith, Kelly Clarkson, Victor Cruz, Cardi B, Chrissy Teigen, Jerry Seinfeld na wengineo ambapo zitaonyesha Live na kituo cha CBS.

Post a Comment