http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Dubai yazindua jengo lingine refu zaidi duniani

Gevora Hotel towers Dubai inakuwa ni sehemu pekee duniani ambayo ina majengo marefu zaidi duniani na hii ni baada ya jana Jumapili Febru...

Gevora Hotel towers
Dubai inakuwa ni sehemu pekee duniani ambayo ina majengo marefu zaidi duniani na hii ni baada ya jana Jumapili Februari 11, 2018 kuzindua jengo la Gevora Hotel towers.
Gevora Hotel towers.
Jengo hilo lenye ghorofa 75 na urefu wa mita 356 kwenda juu linakuwa ndiyo jengo la Hoteli refu zaidi duniani.
Jengo la JW Mariott Marquis kulia na Gevora Hotel towers kushoto

Hata hivyo, rekodi ya jengo refu la hoteli duniani ilikuwa inashikiliwa na Dubai yenyewe ambapo jengo la hoteli la JW Mariott Marquis ambalo limezidiwa mita moja tu na jengo jipya la Genova Hotel ndio lilikuwa linashikilia rekodi hiyo.


Jengo hilo la Hoteli ya Genova ina vyumba 528 na kuna klabu kubwa 5 na swimming pool  na migahawa mikubwa 30.


Dubai ndiyo sehemu mpaka sasa inayoongoza kuwa na jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lenye urefu wa mita 828.

Burj Khalifa
Kwa mujibu wa mtandao wa  Emirates 24/7 hoteli hiyo litaanza kupokea wageni kuanzia jumatatu ya wiki lijalo.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Dubai yazindua jengo lingine refu zaidi duniani
Dubai yazindua jengo lingine refu zaidi duniani
https://4.bp.blogspot.com/-9mzzaZhSows/WoH_Q3tuHNI/AAAAAAAAEcc/0B5wYHXempYVvfhaevDL9zbL5EGsjlZFwCLcBGAs/s400/wsxdqwsx.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-9mzzaZhSows/WoH_Q3tuHNI/AAAAAAAAEcc/0B5wYHXempYVvfhaevDL9zbL5EGsjlZFwCLcBGAs/s72-c/wsxdqwsx.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/02/dubai-yazindua-jengo-lingine-refu-zaidi.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/02/dubai-yazindua-jengo-lingine-refu-zaidi.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy