http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Maneno ya Dkt. Slaa baada ya kuapishwa ‘Sitakuangusha’

Balozi Mteule, Dkt. Wilbrod Slaa amemshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa kumuamini na kumteua k...


Balozi Mteule, Dkt. Wilbrod Slaa amemshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa kumuamini na kumteua kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden.
Shukrani hizo amezitoa leo Ikulu jijini Dar es salaam, mara baada ya kuapishwa rasmi kuwa Balozi wa nchi hiyo ambapo amemuahidi kuwa hatomuangusha Rais Magufuli.
“Mh. Rais nafasi hii si rahisi sana kuiongoza lakini nitasema machache la kwanza ni la shukrani ni kwa Mungu aliyekuwezesha kuniona na kunipa majukumu haya ili niweze kukusaidia katika kazi hii ya Ubalozi lakini pia nikushukuru wewe Mh. Rais kwa imani uliyokuwa nayo kwangu bila shaka una vigezo vyako ulivyotazama naomba nisema sitakuangusha nitazingatia vipengele vyote vya kiapo. na nitazingatia zaid maslahi mapana ya Taifa langu,” amesema Dkt. Slaa.
Ameongeza “ Mh. Rais kwa kawaida mimi huwa sipendi kutoa ahadi lakini ahadi yangu kubwa ni kwamba nitatumia nguvu zangu zote kufanya yale yote ninayo takiwa kuyafanya kwaajili ya taifa langu Mwnyezi Mungu akinisaidia na naomba tukishirikiana na timu ya wote tuliyonayo kuanzia Mawaziri, Katibu Mkuu na wote tunaofanya kazi pamoja na mimi nawaahidi ushirikiano wangu, Mh. Rais baada ya kusema hayo sina mengi narudia tena asante sana Mh. Rais kwa kuniona , asante kwa kuniamini na kunipa majukumu haya naamini sitakuangusha nashukuru sana Mh.Rais.”

CHANZO:BONGO5

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Maneno ya Dkt. Slaa baada ya kuapishwa ‘Sitakuangusha’
Maneno ya Dkt. Slaa baada ya kuapishwa ‘Sitakuangusha’
https://3.bp.blogspot.com/-34q-fZGBIhI/Woas7tu_M9I/AAAAAAAAEgA/X6-_Pvi91dcCbXfjYJvbwn034T85xv-2wCLcBGAs/s400/DWIbZGVU0AMvUJ8.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-34q-fZGBIhI/Woas7tu_M9I/AAAAAAAAEgA/X6-_Pvi91dcCbXfjYJvbwn034T85xv-2wCLcBGAs/s72-c/DWIbZGVU0AMvUJ8.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/02/maneno-ya-dkt-slaa-baada-ya-kuapishwa.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/02/maneno-ya-dkt-slaa-baada-ya-kuapishwa.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy