Soundcloud

Mtoto wa Dj Khaled, Asad aja na dili la mamilioni


Mtoto wa rapper Dj Khaled, Asad Khaled anazidi kuwa mtoto mwenye mafanikio akiwa katika umri mdogo hii ni baada ya kuzindua nguo zake aina ya tarck suit.
Track suit hiyo ya Jordan x Asad ilivaliwa na Asad mwenyewe wakati wa onyesho la mavazi la Rookie USA Fashion Show liliyofanyika mjini Hollywood usiku wa leo kwa kulitinda mwenye.
Kijana huyo mwenye umri wa mwaka mmoja alipita katika jukwaa Rookie USA Fashion Showhilo akiwa na baba yake pamoja na mama yake Nicole Tuck,kuonuyesha vazi hilo.
Bongo5

Post a Comment