http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Wakili wa Trump akiri kumlipa 'kisiri' nyota wa filamu za ngono $130,000

Wakili wa kibinafsi wa muda mrefu wa rais wa Marekani Donald Trump amekiri kibinafsi kumlipa nyota wa filamu za ngono $130,000 (£95,000) m...

Wakili wa kibinafsi wa muda mrefu wa rais wa Marekani Donald Trump amekiri kibinafsi kumlipa nyota wa filamu za ngono $130,000 (£95,000) mwaka 2016
Wakili wa kibinafsi wa muda mrefu wa rais wa Marekani Donald Trump amekiri kibinafsi kumlipa nyota wa filamu za ngono $130,000 (£95,000) mwaka 2016, katika taarifa kwa vyombo vya habari vya Marekani.
Hatua hiyo inajiri ripoti ya vyombo vya habari kwamba nyota huyo wa filamu za ngono kwa jina Stromy Daniels alilipwa katika makubaliano ya kutozungumzia uhusiano fulani.
Kwanza alisema kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na rais Donald Trump mwaka 2011 katika mahojiano.
Wakili huyo awali alikuwa amesema kuwa bwana Trump alikataa kuwepo kwa uhusiano wowote kati yao.
Malipo hayo hayakutolewa na shirika la Trump wala kampeni ya bwana Trump.
Anasema aliiambia hivyo hivyo tume ya uchaguzi baada ya kundi moja kuwasilisha malalamishi kuhusu malipo hayo likidai kwamba ulikuwa mchango wa kampeni ya Trump.
''Malipo hayo yaliofanywa kwa bi Clifford yalikuwa halali na haukuwa mchango wa kampeni kutoka kwa mtu yeyote'', alisema.
Rais Trump na nyotawa filamu za ngono Stormy Daniels kulia
Katika mahojiano ya 2011 na jarida la InTouch magazine, nyota huyo wa ngono anasema kuwa alianza uhusiano na rais Trump 2006 baada ya Melania Trump kujifungua mwanawe Barron.
Ripoti hizo zilizuka mwezi Januari wakati jarida la Wall Street liliporipoti kwamba alilipwa ili kuficha makubaliano fulani karibu na uchaguzi wa 2016 hatua iliomzuia kuzungumzia madai hayo.
Bi Clifford aliaminika kujadiliana na vyombo vya habari vya Marekani kuhusu kuhusu swala hilo katika chombo kimoja cha runinga, ripoti hiyo ilisema.
Akijibu maswali kutoka CNN kuhusu ni kwa nini malipo hayo yalifanywa, bwana Cohen alisema: kwa sababu sio ukweli haimanishi kwamba itakuathiri ama kukuharibia.
''Nitamtetea Trump kila siku''.alisema.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Wakili wa Trump akiri kumlipa 'kisiri' nyota wa filamu za ngono $130,000
Wakili wa Trump akiri kumlipa 'kisiri' nyota wa filamu za ngono $130,000
https://4.bp.blogspot.com/-OrYwF-7517g/WoS6eXh-I7I/AAAAAAAAEfQ/feg2ohRoHrsC8UVJ0EzhqZqylES42xNLACLcBGAs/s320/_100033136_91bbbd51-1a07-4d18-9ccd-ffe42cc081b7.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-OrYwF-7517g/WoS6eXh-I7I/AAAAAAAAEfQ/feg2ohRoHrsC8UVJ0EzhqZqylES42xNLACLcBGAs/s72-c/_100033136_91bbbd51-1a07-4d18-9ccd-ffe42cc081b7.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/02/wakili-wa-trump-akiri-kumlipa-kisiri.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/02/wakili-wa-trump-akiri-kumlipa-kisiri.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy