Soundcloud

Yatazame hapa Majina ya Watumishi wa Umma wanaostahili kulipwa Malimbikizo ya Mishahara

Wizara ya Fedha na Mipango imetoa majina ya  Watumishi wa Umma kuwa, Baada ya zoezi la uhakiki wa Watumishi wa Umma kukamilika, Serikali imejipanga kuanza kulipa madai sahihi kupitia kwenye Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa mkupuo mwezi February, 2018.
Leo February 10, 2018 Wizara ya Fedha na Mipango imetangaza Watumishi wa Umma waliokuwa na madai nimekuwekea orodha ya majina ya waliotajwa wanaostahili kulipwa kutokana na Uhakiki huo kukamilika yanapatikana >>> BONYEZA HAPA

Post a Comment