http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

BREAKING NEWS: TRUMP AMTIMU WAZIRI WA MAMBO YA NJE, TILLERSON

RAIS Donald Trump leo amemwondoa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson, na amepanga kumteua Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi...


RAIS Donald Trump leo amemwondoa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson, na amepanga kumteua Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la nchi hiyo (CIA), Mike Pompeo, kuchukua nafasi ya waziri huyo.

Maofisa wa Ikulu ya Marekani wamesema hatua hiyo ya rais huyo ni kutaka kuonyesha mabadiliko makubwa katika timu ya maofisa wa masuala ya usalama wa taifa katika juhudi zake anazozifanya, yakiwemo mazungumzo na Korea ya Kaskazini.

Ijumaa wiki iliyopita, Trump alimtaka Tillerson aachie ngazi, ambapo waziri huyo alikatisha safari zake barani Afrika jana na kurejea Washington. Kutoelewana kati ya Trump na Tillerson kumekuwepo kwa miezi mingi ambapo ilimbidi rais huyo kufikia uamuzi huo alioufanya.

Sababu hasa ya kutoelewana huko haifahamiki, lakini imeonekana kwamba wawili hao wamekuwa wakitofautiana katika sera za masuala la zana za nyuklia kuhusisna na Iran. Hata hivyo, msemaji wa Tillerson alisema kwamba waziri huyo alikuwa na dhamira ya kuendelea katika nafasi hiyo na hakuelewa sababu yoyote iliyosababisha ang’olewe.

Rex Tillerson ameondolewa madarakani ikiwa ni siku moja tangu aondoke nchini Kenya alipokuwa kwenye ziara ya kikazi na kuelekea Ghana ambako alikuwa anaendelea na ziara yake Barani Afrika.
Aidha, Trump amemteua Gina Haspel kama mwanamke wa kwanza kuwa Mkurugenzi wa CIA. Tillerson aliapishwa Februari 2017 kushika wadhifa huo.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: BREAKING NEWS: TRUMP AMTIMU WAZIRI WA MAMBO YA NJE, TILLERSON
BREAKING NEWS: TRUMP AMTIMU WAZIRI WA MAMBO YA NJE, TILLERSON
https://4.bp.blogspot.com/-QZpPKgJqBqk/Wqf08M2GWUI/AAAAAAAAEs4/5i7guhzZskQOBuo3rHGGb7kDl0imt7eWgCLcBGAs/s400/tillerson-1024x683.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-QZpPKgJqBqk/Wqf08M2GWUI/AAAAAAAAEs4/5i7guhzZskQOBuo3rHGGb7kDl0imt7eWgCLcBGAs/s72-c/tillerson-1024x683.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/breaking-news-trump-amtimu-waziri-wa.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/breaking-news-trump-amtimu-waziri-wa.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy