http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

CHIRWA, AJIBU WAWAKIMBIZA MJI WASWANA

WAPINZANI wa Yanga ka­tika Ligi ya Mabingwa Afrika, Township Rollers ya Bot­swana ni kama wamewakimbia Yanga baada ya kukimbilia nje ya...


WAPINZANI wa Yanga ka­tika Ligi ya Mabingwa Afrika, Township Rollers ya Bot­swana ni kama wamewakimbia Yanga baada ya kukimbilia nje ya mji.
Timu hizo zinatarajiwa kuvaana kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa wa Botswana saa saba mchana kwa saa za huko sawa na saa nane mchana kwa Tanzania.

Katika mchezo huo, Yanga wataingia uwanjani na nyota wake walioisumbua safu ya ulinzi ya Rollers, Obrey Chirwa na Ibrahim Ajibu walioonyesha kiwango kikubwa katika mchezo huo.
Akizungumza na Championi Ijumaa, Hafidh Saleh alisema taarifa za kuondoka na kutimkia mji mwingine wamezipata kutoka kwa wenyeji wao ambao ni Watanzania waishio nchini humo wenye mapenzi na Yanga.

Saleh alisema kwa mu­jibu wa taarifa ambazo wamezipata wenyeji wao, walishangazwa na ujio wao wa mapema nchini hapa ambapo wameshtushwa na ujio huo wakihofia mbinu zao kujulikana, hivyo wakaona waondoke mjini hapo.
“Tangu tumefika hapa hatujawaona wapin­zani wetu Rollers zaidi tulipata taarifa za wao kukimbia mji kutukwepa sisi wakihofia kuzi­ona mbinu zao watakazozitumia.

“Hatujui wamekwenda kuweka kambi yao hiyo kwenye mji gani, kikubwa tunashukuru wenyeji wetu waliotupokea baadhi wak­iwemo Watanzania waishio hapa.
“Kingine tunafurahia mapokezi mazuri tu­liyoyapata kutoka kwa balozi wetu wa hapa nchini ambaye jana (juzi) tulikutana naye na kula chakula cha jioni na kubadilishana mawazo mbalimbali,” alisema Saleh.

Source:GPL

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: CHIRWA, AJIBU WAWAKIMBIZA MJI WASWANA
CHIRWA, AJIBU WAWAKIMBIZA MJI WASWANA
https://3.bp.blogspot.com/-xCw-B5yN1Es/Wqs5zKsgs6I/AAAAAAAAEwA/iUmYwG8vAfMP8jWWZzPkfUsKBpqQRvSKACLcBGAs/s640/download.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-xCw-B5yN1Es/Wqs5zKsgs6I/AAAAAAAAEwA/iUmYwG8vAfMP8jWWZzPkfUsKBpqQRvSKACLcBGAs/s72-c/download.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/chirwa-ajibu-wawakimbiza-mji-waswana.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/chirwa-ajibu-wawakimbiza-mji-waswana.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy