http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Forbes wametaja list ya Matajiri Duniani, Bill Gates hayupo nafasi ya kwanza

March 8, 2018  stori nayokusogezea ni kuhusu   Jarida la Forbes , limetoa orodha ya matajiri wa kupindukia duniani na kumtaja mmiliki wa ...

March 8, 2018 stori nayokusogezea ni kuhusu  Jarida la Forbes, limetoa orodha ya matajiri wa kupindukia duniani na kumtaja mmiliki wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezoskuwa kinara katika orodha hiyo.
Utajiri wa Bezos umepanda na kufikia dola Bilioni 112 kutoka takribani dola Bilioni 39.2 za mwaka jana. Kuimarika kwa utajiri wa Bezos katika historia, kumemuondoa mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates kutoka katika orodha hiyo kama tajiri namba moja.
Katika orodha hiyo mpya, tajiri Gates mwenye utajiri unaokadiriwa kuwa wa dola bilioni 90 mwaka huu kutoka Bilioni 86 ndiye anayeshikilia nafasi ya pili. Gates ameongoza orodha hiyo kwa miaka 18 kati ya miaka 24 iliyopita.
Miongoni mwao, kuna Mabilionea 259 wapya ambao walijipatia utajiri wao kutoka katika biashara za aina nyingi zikiwemo nguo za harusi, wanasesere wa kuchezewa na watoto na magari yanayotumia umeme.
Marekani ndiyo nchi inayodaiwa kuwa na mabilionea wengi duniani, ambapo ina mabilionea 585, ikifuatwa na China. Jimbo la California pekee lina mabilionea 144, zaidi kushinda mataifa yote isipokuwa Marekani na China.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Forbes wametaja list ya Matajiri Duniani, Bill Gates hayupo nafasi ya kwanza
Forbes wametaja list ya Matajiri Duniani, Bill Gates hayupo nafasi ya kwanza
https://4.bp.blogspot.com/-RSrRIVzY0rA/WqF_pOzVX6I/AAAAAAAAEmw/Xx3uOFLYxbssN804riTmbDkVNafjYhU1wCLcBGAs/s400/main-qimg-b0b612ea3811991acc4d11f5d05e7b7a-c-602x400.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-RSrRIVzY0rA/WqF_pOzVX6I/AAAAAAAAEmw/Xx3uOFLYxbssN804riTmbDkVNafjYhU1wCLcBGAs/s72-c/main-qimg-b0b612ea3811991acc4d11f5d05e7b7a-c-602x400.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/forbes-wametaja-list-ya-matajiri.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/forbes-wametaja-list-ya-matajiri.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy