http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Heart Marathon imeahirishwa April 26 DSM hadi …..

Ni mwaka wa tatu mfululizo sasa Mkoa wa  Dar es Salaam  kwa kushirikiana na chama cha riadha cha mkoa umekuwa na utaratibu wa kuandaa mas...

Ni mwaka wa tatu mfululizo sasa Mkoa wa Dar es Salaam kwa kushirikiana na chama cha riadha cha mkoa umekuwa na utaratibu wa kuandaa mashindano ya riadha yanayojulikana kwa jina la Heart Marathon ambapo Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi amekuwa akishiriki.
Mashindano hayo ambayo kwa mwaka huu yalipangwa kufanyika April 26 2018 na kuhamasisha watu mbalimbali kujitokeza na baada ya hapo wangepata fursa ya kupima afya zao, yamesogezwa mbele hadi April 29 2018 kutokana na maoni mbalimbali ya wadau kuomba yasogezwe mbele mashindano hayo.
Katibu wa kamati ya maandalizi ya mashindano hayo Rebecca John amethibtisha taarifa hizo mbele ya waandishi wa habari “Kwa niaba ya kamati nasimama kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na mabadiliko ya tarehe ya mbio za afya za Heart Marathon ambazo mwanzo zilitegemewa kufanyia April 26 2018 lakini tumezipeleka hadi April 29 kutokana na maoni ya wadau”
CREDIT: Millardayo.com

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Heart Marathon imeahirishwa April 26 DSM hadi …..
Heart Marathon imeahirishwa April 26 DSM hadi …..
https://2.bp.blogspot.com/-OT1EC94bPDI/WrPvvqM-IYI/AAAAAAAAE24/StrXZTPfdaQ1ToC0f-OGqeA4ZmyFCGeTwCLcBGAs/s320/HM3c-660x400.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-OT1EC94bPDI/WrPvvqM-IYI/AAAAAAAAE24/StrXZTPfdaQ1ToC0f-OGqeA4ZmyFCGeTwCLcBGAs/s72-c/HM3c-660x400.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/heart-marathon-imeahirishwa-april-26.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/heart-marathon-imeahirishwa-april-26.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy