Soundcloud

Kim Kardashian amuanika aliyebeba mimba ya mtoto wake Chicago

Mapema Januari mwaka  huu, Kim Kardashian na mumuwe Kanye West  walifurahia kupata mtoto wao watatu aitwaye Chicago West.

Kupitia kipindi cha ‘Keeping Up with The Kardashians, Kim amemtambulisha mwanamke aitwaye  La’Reina kwa baadhi ya ndugu katika familia yake kama mtu aliyebebe ujauzito wa Chicago.
Licha ya kuwa sura yakje haikuonekana vyema katika kipindi hicho ila La’Reina alionekana akiwa katika mazungumzo na Khloe pamoja na Kylie jinsi anavyojisikia  baada ya kuwaachia mototo.
“Because I know from the very beginning this is not my baby. And at the end, my joy and my satisfaction is with whoever I’m having the baby for. … I know what my job is in all of it. It makes me feel important because I’m like, ‘Wow, I did something so good. This is beautiful. I would do this again a thousand more times,” ameeleza mwanamke huyo.

Post a Comment