Soundcloud

Kiss Daniel aonyesha mjengo wake mpyae


Ikiwa ni siku chache zimepita tokea msanii wa kutoka lebo ya Fly Boy, Kiss Daniel kumuonyesha mpenzi wake Chidinman katika mtandao wa kijamii wa Instagram, Danel ametumia mtandao huo kuonyesha mali yake anayomiliki.
Kiss ameoyesha  picha ya mjengo huo wa ambao ni wapili kununua tokea miaka mine iliyopita. Mjengo huo mpya wa staa huyo upo mjini Lagos, Nigeria.
Boss huyo wa Fly Boy ameonyesha picha ya nyumba hiyo kupitia mtandao wa Instagram na kuandika.

Post a Comment