http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Mfahamu mrembo anayeingiza mil. 12 kwa mwezi kwa kuuza maziwa yake kwa wanaume

Rafaella akimnyonyesha mtoto wake wa pili Anjelo ambapo alikiri kuwa anatokwa na maziwa mengi hadi anashindwa kwa kuyapeleka. Katika m...

Rafaella akimnyonyesha mtoto wake wa pili Anjelo ambapo alikiri kuwa anatokwa na maziwa mengi hadi anashindwa kwa kuyapeleka.
Katika maisha kuna njia nyingi za kutoka kimaisha na kila mmoja atatumia akili na ubunifu wake ili mradi asivunje sheria katika utafutaji wake, Ubunifu huo tunaouzungumzia umemkuta umetumiwa na Rafaela Lamprou ambaye anauza maziwa yake yeye mwenyewe mtandaoni.
Rafaella akimnyonyesha mtoto wake wa pili Anjelo ambapo alikiri kuwa anatokwa na maziwa mengi hadi anashindwa kwa kuyapeleka.Bi, Rafaela (24) ambaye amejifungua miezi 7 iliyopita amekuwa akijaza maziwa kwenye pakiti na kutangaza mtandaoni ambapo kwa siku huuza pakiti hadi pakiti 5 hadi 10 na pakiti moja yenye ujazo wa nusu lita inaunzwa kwa Euro 8-10 kwa watu wanaoagiza nchini Uingereza.
Akisimulia kuhusu wazo la biashara hiyo,  Rafaela amesema kuwa miezi saba alipojifungua mtoto wake wa pili maziwa yalikuwa yanatoka mengi kiasi kwamba hadi mtoto alikuwa anashindwa kunyonya.
Raia huyo wa Cyprus amesema usiku wa manane ilimfanya aamke kukamulia chini maziwa hayo ili yasiloweshe godolo, na ndipo bibi yake alianza kuelimishwa umuhimu wa maziwa hayo kwa watu wakubwa hususani wanaume.
Rafaela amesema bibi yake alimwambia maziwa ya mwanamke ni tiba hata kwa wanaume wakubwa kwani inaimarisha misuli hivyo kama hata jali anaweza kumpatia hata mumewe akayatumia.
Lakini alipojaribu kumuomba mumewe aliyetambulika kwa jina la Alex ayatumie alikataa katu kunywa maziwa hayo.
Rafaela na mumewe Alex
Kwenye mahojiano yake na Daily Mail, Rafaela amesema mumewe alipokataa alianza kukamua  maziwa hayo na kuyahifadhi ambapo kwa maelezo yake amedai alikuwa anahifadhi hadi lita 1.5 .
Ndipo wazo la kuanza biashara ya kuuza maziwa hayo likamjia ambapo alianza kutangaza mtandaoni kwa kuyanadi kuwa yanaimarisha misuli kwa wanaume ambao wanataka kuwa na muonekano mzuri.
“Nilianza kutangaza kupitia facebook, nilifungua group nikaanza kuwaalika marafiki na kutangaza bidhaa zangu nikaona wanaume wakichangamkia, basi nikaona ni wazo zuri na nikaanza kuwauzia,”amesema Rafaela kwenye mahojiano yake na Daily Mail.
Amesema mwezi Novemba 2017 wakati anaanza kutangaza biashara hiyo mtandaoni, watu walianza kumuhoji kuhusu usalama na usafi wa maziwa hayo ndipo alipoamua kwenda kwenye mamlaka husika za afya kupata usajili wa bidhaa yake.
Rafaela amesema kwa mwezi Desemba pekee aliweza kuuza lita 500 ambapo aliweza kutengeza Euro 4,500 ambayo sawa na zaidi ya Tsh milioni 12.
Bidhaa hiyo ya maziwa ikiwa tayari kwa kuuzwa.
Akielezea kuhusu changamoto za unyonyeshaji na biashara hiyo, Radaela amesema haoni changamoto yoyote kwani mtoto wake ananyonya kama inavyotakiwa na maziwa mengine humpatia mtoto wake mkubwa kwani ameshagundua kuwa ni tiba.

Mume wa Rafaela akiwa na watoto wao wawili
Bi. Rafaela amesema wateja wake wengi ni wa mtandaoni na wengi wao ambao wameshawahi kununua wamempigia zaidi ya mara mbili wakihitaji bidhaa hiyo.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Mfahamu mrembo anayeingiza mil. 12 kwa mwezi kwa kuuza maziwa yake kwa wanaume
Mfahamu mrembo anayeingiza mil. 12 kwa mwezi kwa kuuza maziwa yake kwa wanaume
https://2.bp.blogspot.com/--4I33rOlrJo/WpxavUIjPqI/AAAAAAAAEls/aJ2MFWZk6asGltTdXjkvT8RJ76GGqMP1gCEwYBhgL/s320/49BA28E400000578-5453659-image-a-27_1519982172224.jpg
https://2.bp.blogspot.com/--4I33rOlrJo/WpxavUIjPqI/AAAAAAAAEls/aJ2MFWZk6asGltTdXjkvT8RJ76GGqMP1gCEwYBhgL/s72-c/49BA28E400000578-5453659-image-a-27_1519982172224.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/mfahamu-mrembo-anayeingiza-mil-12-kwa.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/mfahamu-mrembo-anayeingiza-mil-12-kwa.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy