http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Miguna Miguna akataliwa kuingia Kenya

Mwanansheria wa upande wa upinzani wa Kenya,Miguna Miguna amekataliwa kuingia Kenya baada ya kukataa kuomba Visa, gazeti binafsi la The S...

Mwanansheria wa upande wa upinzani wa Kenya,Miguna Miguna amekataliwa kuingia Kenya baada ya kukataa kuomba Visa, gazeti binafsi la The Star la ripoti.
Bwana Miguna anasafiri kwa kutumia kibali chake cha kusafiria cha Canada baada ya kuvuliwa uraia wa Kenya.
Mamlaka ya Kenya ilimrudisha Canada baada ya kushiriki katika kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga kama "Rais wa watu".
Wiki iliyopita Miguna aliiambia BBC kuwa mamlaka ya Kenya haijafuata maagizo ya mahakama ya kumpatia hati za kusafiria za Kenya.
Serikali ya Kenya ilimvua uraia Miguna na kumrudisha Canada ambapo pia ni raia huko.
Mahakama ya kenya ilitoa amri kwa serikali hiyo kurudisha hati za kusafiria za Miguna na kusaidia katika kurejea kwake lakini kwa mujibu wa Miguna serikali haija fanya hivyo.
Mwandishi wa BBC Ferdinand Omondi ambaye alikwenda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta amesema vyanzo vinasema serikali inataka kumpa visa ya muda wa miezi sita na kuchukua pasipoti yake.
Mfuasi wa upinzani alikuwa akimsubiri wakili Miguna Miguna katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta
Mamlaka ya Kenya ilimrudisha Canada baada ya kushiriki katika kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga kama "Rais wa watu".
Wiki iliyopita Miguna aliiambia BBC kuwa mamlaka ya Kenya haijafuata maagizo ya mahakama ya kumpatia hati za kusafiria za Kenya.
Serikali ya Kenya ilimvua uraia Miguna na kumrudisha Canada ambapo pia ni raia huko.
Mahakama ya kenya ilitoa amri kwa serikali hiyo kurudisha hati za kusafiria za Miguna na kusaidia katika kurejea kwake lakini kwa mujibu wa Miguna serikali haija fanya hivyo.
Mwandishi wa BBC Ferdinand Omondi ambaye alikwenda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta amesema vyanzo vinasema serikali inataka kumpa visa ya muda wa miezi sita na kuchukua pasipoti yake.
Hamu na Ghamu: Jinsi waandishi walivyongang'ania kumsubiri Miguna katika mlango wa Mapokezi
Waandishi wa habari wa Kenya wamekusanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta uliopo Nairobi, ili kupata taarifa ya ujio wa wakili huyo wa upinzani Miguna Miguna ambaye aliondolewa Kenya tangu tarehe 6 mwezi Februari mwaka huu.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Miguna Miguna akataliwa kuingia Kenya
Miguna Miguna akataliwa kuingia Kenya
https://4.bp.blogspot.com/-qD38tcrDw3M/WrkXoqrRwzI/AAAAAAAAE6s/3y7KSTvRJKoGib2pUXYninUN8yn1U3dYACLcBGAs/s400/_100188806_gettyimages-912179484.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-qD38tcrDw3M/WrkXoqrRwzI/AAAAAAAAE6s/3y7KSTvRJKoGib2pUXYninUN8yn1U3dYACLcBGAs/s72-c/_100188806_gettyimages-912179484.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/miguna-miguna-akataliwa-kuingia-kenya.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/miguna-miguna-akataliwa-kuingia-kenya.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy