http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Mmiliki wa Facebook ameomba radhi kwa watumiaji wote

Mkurugenzi mkuu na mmliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook  Mark Zuckerberg amevunja ukimya kuhusu kashfa iliyoikumba kampuni yake amba...

Mkurugenzi mkuu na mmliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerbergamevunja ukimya kuhusu kashfa iliyoikumba kampuni yake ambapo ameomba radhi kutokana na “kuvunja uaminifu” na weteja wake zaidi ya bilioni moja na kuapa kutorudia makosa yaliyojitokeza.
Katika matamshi yake ya kwanza kuhusiana na matumizi mabaya ya taarifa binafsi za wateja zaidi ya milioni 50 kulikofanywa na kampuni ya Uingereza iliyokuwa na uhusiano na timu ya kampeni ya rais Donald Trump mwaka 2016, Zuckerberg amewaambia watumiaji wa Facebook kuwa taasisi yake “ilikuwa na wajibu wa kulinda taarifa.
Ameahidi pia kuwa Facebook itachunguza kila programu iliyopata mwanya wa kupitia akaunti za wateja wake na kufanya uchunguzi wa kisayansi kwa kitu chochote kilichoonekana kina wasiwasi.
“Hii ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa matumizi ya taarifa binafsi na uaminifu, nawaomba msamaha kwa kile kilichotokea, wajibu wetu sasa ni kuhakikisha tukio hili halitokei tena.” -Zuckerberg

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Mmiliki wa Facebook ameomba radhi kwa watumiaji wote
Mmiliki wa Facebook ameomba radhi kwa watumiaji wote
https://3.bp.blogspot.com/-IaKEvekBX8M/WrPvGylgZOI/AAAAAAAAE2w/7oYF840UWAIvQj3AmJZK-7Kl9w_Zrg8pgCLcBGAs/s400/face-600x400.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-IaKEvekBX8M/WrPvGylgZOI/AAAAAAAAE2w/7oYF840UWAIvQj3AmJZK-7Kl9w_Zrg8pgCLcBGAs/s72-c/face-600x400.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/mmiliki-wa-facebook-ameomba-radhi-kwa.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/mmiliki-wa-facebook-ameomba-radhi-kwa.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy