http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

RAIS WA MAURITUS AJIUZULU

Mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kama rais nchini Mauritius amejiuzulu kutokana na madai ya kujihusisha na rushwa. Ameenah Gurib alicha...


Mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kama rais nchini Mauritius amejiuzulu kutokana na madai ya kujihusisha na rushwa.
Ameenah Gurib alichaguliwa kama rais wa Mauritius baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Mwanasehria wake Yousouf Mohamed amesema kuwa Bi Ameenah amejiuzulu kwa ajili ya maslahi ya taifa lake.
Hata hivyo Gurib ameyakanusha madai ya rushwa dhidi yake.
Kujiuzulu kwa rais huyo kutatambuliwa rasmi 23 mwezi Machi.
Wiki iliyopita waziri mkuu wa Mauritius Pravind Jugnauth alitangaza kuwa rais anatarajia kujiuzulu lakini Gurib-Fakim alikanusha madai hayo.
Ameenah Gurib-Fakim pia alikanusha mashtaka ya rushwa dhidi yake, akisema kwamba hakuchukua fedha au thamani kutoka kwa mtu yeyote au taasisi.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: RAIS WA MAURITUS AJIUZULU
RAIS WA MAURITUS AJIUZULU
https://4.bp.blogspot.com/-I2SRQWBHOjg/Wq73TxER9ZI/AAAAAAAAE0s/KObjtiKHRhUIRA1kIscVzDgxOwQLLSVlwCLcBGAs/s400/mauritius-1.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-I2SRQWBHOjg/Wq73TxER9ZI/AAAAAAAAE0s/KObjtiKHRhUIRA1kIscVzDgxOwQLLSVlwCLcBGAs/s72-c/mauritius-1.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/rais-wa-mauritus-ajiuzulu.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/rais-wa-mauritus-ajiuzulu.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy