http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Rapa Craig Mack aliyewahi kuvuma duniani na wimbo wa ‘Flava In Ya Ear’ afariki dunia

Rapa mkongwe nchini Marekani, Craig Mack ambaye ni moja ya wasanii wa kwanza kusainiwa kwenye lebo ya Bad Boy Records amefariki dunia usi...


Rapa mkongwe nchini Marekani, Craig Mack ambaye ni moja ya wasanii wa kwanza kusainiwa kwenye lebo ya Bad Boy Records amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Machi 13, 2018  nyumbani kwake Walterboro mjini Carolina kwa ugonjwa wa shambulio la moyo.
Craig (46) miaka ya 90’s alitamba na wimbo wa ‘Flava in Ya Ear’ na kujizolea umaarufu duniani na kuchukua tuzo kibao kupitia Remix ya wimbo huo ambapo alimshirikisha Notorious B.I.G .
Taarifa za msiba huo zimesambaa kufuatia watu maarufu nchini humo wakiwemo Ma’DJ wa vituo vya radio kutoa salamu za rambi rambi.
Baada ya kutemana na lebo ya Bad Boy Records, Craig alijiunga na lebo ya Scotti Brothers Records mwaka 1997 ambapo alifanikiwa kuachia albumu moja ya Operation: Get Down .
Hata hivyo, mpaka mauti yanamkuta Craig alikuwa ni muumini mzuri wa dini na alikuwa ameshajiweka kando na muziki wa kidunia.Tazama video ya wimbo wa ‘Flava in Ya Ear’ remix.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Rapa Craig Mack aliyewahi kuvuma duniani na wimbo wa ‘Flava In Ya Ear’ afariki dunia
Rapa Craig Mack aliyewahi kuvuma duniani na wimbo wa ‘Flava In Ya Ear’ afariki dunia
https://2.bp.blogspot.com/-WcgCWTUpdS8/WqfvcCpjMwI/AAAAAAAAEso/COQm8Xqx004OB_H0nMj8ILU6Y_LfraMrACLcBGAs/s400/DYKZlY-X4AAN8Uo.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-WcgCWTUpdS8/WqfvcCpjMwI/AAAAAAAAEso/COQm8Xqx004OB_H0nMj8ILU6Y_LfraMrACLcBGAs/s72-c/DYKZlY-X4AAN8Uo.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/rapa-craig-mack-aliyewahi-kuvuma.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/rapa-craig-mack-aliyewahi-kuvuma.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy