http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

RIPOTI: Vijana 90 huambukizwa virusi vya UKIMWI ndani ya masaa 24 Tanzania

Kwa mujibu wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa Ukimwi iliyozinduliwa Desemba 01, 2018 katika kilele cha sik...


Kwa mujibu wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa Ukimwi iliyozinduliwa Desemba 01, 2018 katika kilele cha siku ya Ukimwi Duniani. Vijana 72 wa kike na 18 wa kiume wenye umri kati ya miaka 14 na 24 wanapata maambukizo mapya ya virusi vya Ukimwi (VVU) kila siku.


Akielezea tathmini ya ripoti hiyo leo Jumatatu Machi 12,2018 na wadau wa masuala ya Ukimwi mjini Dodoma, Mkurugenzi mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kuthibiti Ukimwi (Tacaids), Dkt. Leonard Maboko amesema tathmini hiyo ilibaini watu 81,000 nchini wanapata maambukizo mapya kwa mwaka ambayo ni sawa na wastani wa watu 225 kwa siku.
Dkt. Maboko amesema tathmini imeonyesha kati ya watu 225 wanaoambukizwa VVU kwa siku asilimia 40 ambayo ni sawa na watu 90 ni vijana kati ya miaka 14-24. Na kwenye vijana hao 90 wasichana 72 huambukizwa kwa siku huku wavulana 18 pekee ndio huambukizwa VVU.
Tathmini ya ripoti hiyo ilifanyika katika mikoa 11  ambayo ni Tabora, Katavi, Shinyanga, Mara, Dar es Salaam, Pwani, Mbeya, Rukwa, Njombe, Iringa na Ruvuma wakati kwa Zanzibar ilifanyika Unguja na Pemba.
Chanzo:Mwananchi

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: RIPOTI: Vijana 90 huambukizwa virusi vya UKIMWI ndani ya masaa 24 Tanzania
RIPOTI: Vijana 90 huambukizwa virusi vya UKIMWI ndani ya masaa 24 Tanzania
https://4.bp.blogspot.com/-NmGeFN1hfpY/WqZcVfUDg1I/AAAAAAAAEq0/fsUS1XEDOH4dgPUEkxsHoAUayi9KkHR9QCLcBGAs/s400/gallery-1485282308-hiv-positive.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-NmGeFN1hfpY/WqZcVfUDg1I/AAAAAAAAEq0/fsUS1XEDOH4dgPUEkxsHoAUayi9KkHR9QCLcBGAs/s72-c/gallery-1485282308-hiv-positive.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/ripoti-vijana-90-huambukizwa-virusi-vya.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/ripoti-vijana-90-huambukizwa-virusi-vya.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy