http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Teknolojia ya VAR yaibeba Italia dhidi ya Uingereza

Teknolojia ya video (VAR) imeibeba timu ya taifa ya Italia kufanikiwa kuchomoza na sare ya bao 1 – 1 dhidi ya Uingereza kwenye mchezo wa ...


Teknolojia ya video (VAR) imeibeba timu ya taifa ya Italia kufanikiwa kuchomoza na sare ya bao 1 – 1 dhidi ya Uingereza kwenye mchezo wa kirafiki uliyopigwa katika dimba la Wembley.
Wakati Uingereza ikifanikiwa kuongoza mchezo huo baada ya kupata bao lake dakika ya 26 kupitia kwa Jamie Vardy kunako dakika ya 87 mchezaji wa Itali, Lorenzo Insigne akaisawazishia timu hiyo kwa msaada wa teknolojia ya VAR huko Wembley.
Timu ya taifa ya Uingereza ilikuwa ikitarajia kupata ushindi wake wa pili baada ya kuifunga Netherlands  kwa bao 1-0 lakini mwamuzi wa mchezo huo Deniz Aytekin aliamuru penati na kuifanya Italia kusawazisha na kumalizika kwa sare ya 1 – 1 baada ya kupitia VAR.

Kikosi cha Uingereza: Butland (6), Young (7), Walker (7), Stones (6), Tarkowski (6), Trippier (7), Dier (7), Oxlade-Chamberlain (7), Sterling (8), Lingard (7), Vardy (7).
Wachezaji wa akiba: Rose (6), Lallana (6), Rashford (6), Cook (6), Henderson (6).
Kikosi cha Italia: Donnarumma (7), Zappacosta (6), Rugani (6), Bonucci (6), De Sciglio (7), Pellegrini (6), Jorginho (7), Parolo (6), Candreva (6), Immobile (6), Insigne (7).
Wachezaji wa akiba: Chiesa (7), Belotti (6), Gagliardini (6).
Kwenye mchezo huo uliyokuwa na kasi na ushindani mkubwa aliyeibuka nyota wa mchezo ni Raheem Sterling

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Teknolojia ya VAR yaibeba Italia dhidi ya Uingereza
Teknolojia ya VAR yaibeba Italia dhidi ya Uingereza
https://4.bp.blogspot.com/-TA6tzccR514/WrtW7EVW_fI/AAAAAAAAE8E/TB2N-gjvp0wglLvazF-XSVMZjXlula5MgCLcBGAs/s400/skysports-var-england-italy_4266435.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-TA6tzccR514/WrtW7EVW_fI/AAAAAAAAE8E/TB2N-gjvp0wglLvazF-XSVMZjXlula5MgCLcBGAs/s72-c/skysports-var-england-italy_4266435.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/teknolojia-ya-var-yaibeba-italia-dhidi.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/teknolojia-ya-var-yaibeba-italia-dhidi.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy