http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Watu 64 wafariki katika mkasa wa moto jumba la Kemerovo, Urusi

Watu 64 wamethibitishwa kufariki baada ya moto kuzuka katika jumba moja kubwa la kibiashara katika mji maarufu kwa uchimbaji wa mkaa wa m...

Watu 64 wamethibitishwa kufariki baada ya moto kuzuka katika jumba moja kubwa la kibiashara katika mji maarufu kwa uchimbaji wa mkaa wa mawe wa Kemerovo, eneo la Siberia nchini urusi.
Watu zaidi ya 64 hawajulikani walipo, wakiwemo watoto 41.
Baadhi ya maeneo ya jumba hilo kubwa yanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kuporomoka.
Moto huo ulianza katika ghorofa ya juu katika jumba Winter Cherry.
Inadaiwa wengi wa waliofariki walikuwa kwenye kumbi za sinema.
Video zilizopakiwa mitandao ya kijamii zinawaonesha watu wakiruka nje kupitia madirisha kujaribu kujinusuru kutoka kwa moto huo uliozuka Jumapili.
Wazima moto zaidi ya 660 wametumwa kusaidia juhudi za uokoaji.
Chanzo cha moto huo hakijabainika lakini maafisa wameanzisha uchunguzi.
Kemerovo, ni eneo maarufu sana kwa uchimbaji wa mkaa wa mawe.
Ni mji unaopatikana takriban kilomita 3,600 mashariki mwa mji mkuu Moscow.
Kansela wa Austria Sebastian Kurz ametuma salamu zake za rambirambi kwa jamaa na marafiki wa waathiriwa, sawa na Waziri wa mambo ya nje wa Latvia Edgars Rinkēvičs

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Watu 64 wafariki katika mkasa wa moto jumba la Kemerovo, Urusi
Watu 64 wafariki katika mkasa wa moto jumba la Kemerovo, Urusi
https://1.bp.blogspot.com/-3DZ8DhjTo1A/WrkWkkvJmHI/AAAAAAAAE6g/F40iG6lbkIkkcLNKNLF8lbIUbq-YR648gCEwYBhgL/s400/_100564046_045763946.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-3DZ8DhjTo1A/WrkWkkvJmHI/AAAAAAAAE6g/F40iG6lbkIkkcLNKNLF8lbIUbq-YR648gCEwYBhgL/s72-c/_100564046_045763946.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/watu-64-wafariki-katika-mkasa-wa-moto.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/03/watu-64-wafariki-katika-mkasa-wa-moto.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy