Soundcloud

Alichokiandika Rais Magufuli kuhusu Kifo Cha Winnie Mandela


Watu mbalimbali Duniani wamezidi kuomboleza kufuatia kifo cha aliyekuwa mke wa Mpigania haki na rais wa kwanza Marehemu Nelson Mandela,Winnie Mandela. Naye Rais wa Tanzania Rais Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, ameungana na Mamia ya waafrika na waombolezaji wote Duniani kuomboleza Kifo cha Winnie ambaye naye anakumbukwa kwa ujasiri wake kama aliokuwa nao mumewe wakupigania haki za watu weusi katika nchi hiyo.

 Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais magufuli amemkumbuka Winnie Mandela katika mapambano yake dhi ya ubaguzi wa Rangi Nchini Africa Kusini


Post a Comment