http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Aliyehusika kulipua majengo pacha, September 11 Marekani akamatwa

Mwanaume mmoja anayeshukiwa kuwasaidia wanamgambo wa al-Qaeda kupanga mashambulizi ya  September 11, 2011  nchini  Marekani  na kusababis...

Mwanaume mmoja anayeshukiwa kuwasaidia wanamgambo wa al-Qaeda kupanga mashambulizi ya September 11, 2011 nchini Marekani na kusababisha vifo vya maelfu ya watu amekamatwa.
Mwanaume huyo amekamatwa na wanamgambo wa Kikurdi wanaofanya kazi ya kulinda amani kaskazini mwa Syria ambao wameeleza kuwa mwanaume huyo ni mzaliwa wa Syria na mwenye uraia wa taifa la Ujerumani.
Mtuhumiwa huyo Mohammed Haydar Zammar anadaiwa kuhusika katika shambulizi la uwanja wa Hamburg katika jela nchini Ujerumani miaka ya 1990.
Zammar anadaiwa kuwahi kukamatwa nchini Morocco mwaka 2001 na akapeleka Syrialakini baadaye aliachiwa huru.
                                        

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Aliyehusika kulipua majengo pacha, September 11 Marekani akamatwa
Aliyehusika kulipua majengo pacha, September 11 Marekani akamatwa
https://2.bp.blogspot.com/-_Uo7z4_jtOA/WtiCfXTREkI/AAAAAAAAFX0/I7R3slJeIBohf4BGAs8etfI4AmFo51-DgCLcBGAs/s400/jengo-1-660x400.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-_Uo7z4_jtOA/WtiCfXTREkI/AAAAAAAAFX0/I7R3slJeIBohf4BGAs8etfI4AmFo51-DgCLcBGAs/s72-c/jengo-1-660x400.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/aliyehusika-kulipua-majengo-pacha.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/aliyehusika-kulipua-majengo-pacha.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy