Soundcloud

Huyu ndio kocha wa kwanza kuhusishwa kumrithi Wenger


Nchini England katika soka habari kubwa leo April 20 2018 iliyochukua headlines ni kuhusiana na kocha wa club ya Arsenal Arsene Wenger kutangaza kuwa ataondoka timu hiyo mwishoni mwa msimu, Wenger ataondola katika timu hiyo mwisho wa msimu baada ya kuitumikia kwa miaka 22.

Luis Enrique
Baada ya Wenger kutangazwa kuwa ataondoka club hiyo mwisho wa msimu wengi walitaka kufahamu kuwa mrithi wake atakuwa ni nani? ni wale waliokuwa wanahusishwa awali au kuna mpya, taarifa ikufikie kuwa Arsenal wameanza kuhusishwa kuhitaji hudumu ya kocha wa zamani wa FC Barcelona Luis Enrique.
Kocha Arsene Wenger

Post a Comment