http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Kichuya Amtolea Povu Zito Yondani Baada ya Kumtemea Mate Asante Kwasi

Mshambuliaji wa klabu ya Simba, Shiza Kichuya, amezungumzia kitendo cha beki wa Yanga, kelvin Yondani kumtemea mate mchezaji wa Simba Asan...

Mshambuliaji wa klabu ya Simba, Shiza Kichuya, amezungumzia kitendo cha beki wa Yanga, kelvin Yondani kumtemea mate mchezaji wa Simba Asante Kwasi akieleza kuwa ni cha kukemewa.

Kichuya ameandika ujumbe mfupi kupitia Instagram unaoonesha kuchukizwa na kitendo hicho alichokifaya Yondani jana katika mchezo wa ligi ambao Simba walishinda kwa bao 1-0.

Kichuya ameandika kuwa tabia hiyo kwa wacheza haipendezi na ni ya kishamba hivyo inapaswa isiendelee kufanyika kwasbabu kuna maisha baada ya mpira.

"Mpira siyo vita, kumtemea mwenziyo mate ni kukosa ustaarabu na utu, tukemee hii tabia na tuache ushamba, kuna maisha baada ya mpira" ameandika Kichuya.


COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Kichuya Amtolea Povu Zito Yondani Baada ya Kumtemea Mate Asante Kwasi
Kichuya Amtolea Povu Zito Yondani Baada ya Kumtemea Mate Asante Kwasi
https://2.bp.blogspot.com/-_DTjiffe59U/Wud-13OsldI/AAAAAAAAFfw/0xmZY42dbss6gU5geIFr7GHqvjU2H_kXQCLcBGAs/s640/shiza-kichuya.png
https://2.bp.blogspot.com/-_DTjiffe59U/Wud-13OsldI/AAAAAAAAFfw/0xmZY42dbss6gU5geIFr7GHqvjU2H_kXQCLcBGAs/s72-c/shiza-kichuya.png
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/kichuya-amtolea-povu-zito-yondani-baada.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/kichuya-amtolea-povu-zito-yondani-baada.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy