http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Kilichoongelewa Leo Bungeni Kuhusu Watanzania Kulazimishwa kutumia dola badala ya shilingi ya Tanzania.

Mbunge wa Viti Maalumu Chadema, Devotha Minja ameitaka Serikali kutoa majibu ina mpango gani kuchukua hatua ili kulinda thamani ya shil...


Mbunge wa Viti Maalumu Chadema, Devotha Minja ameitaka Serikali kutoa majibu ina mpango gani kuchukua hatua ili kulinda thamani ya shilingi kama nchi nyingine zinavyolinda fedha zao.

Mbunge huyo amesema licha ya kuwepo kwa matamko mengi lakini bado maeneo mengi Watanzania wanalazimishwa kutumia dola badala ya shilingi ya Tanzania.

Akijibu swali hilo bungeni leo Jumatatu, Aprili 16, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji amesema matumizi ya fedha za kigeni sambamba na shilingi ya Tanzania yanasimamiwa na Sheria ya Matumizi kwa Fedha za Kigeni ya 1992.

Dk Kijaji amesema Desemba 2017 waziri wa fedha alitoa tamko kwa umma kuwa ifikapo Januari Mosi, 2018, matumizi ya fedha za kigeni yazingatie mambo halisi yaliyopo na ikiwemo bei zote kutangazwa kwa shilingi ya Tanzania.

Kuhusu utitiri wa maduka ya kubadilisha fedha,  amesema hadi sasa Serikali imeshafungia jumla ya maduka 92 na itaendelea kufungia kwa watakaokiuka sheria ili kulinda shilingi ya Tanzania.

"Mkazi yeyote wa Tanzania asilazimishwe kulipia bidhaa au huduma yoyote hapa nchini kwa fedha za kigeni na vyombo vya dola viwachukukie hatua za kisheria wale wote watakaobainika kukiuka maagizo ya Serikali," amesema Kijaji

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Kilichoongelewa Leo Bungeni Kuhusu Watanzania Kulazimishwa kutumia dola badala ya shilingi ya Tanzania.
Kilichoongelewa Leo Bungeni Kuhusu Watanzania Kulazimishwa kutumia dola badala ya shilingi ya Tanzania.
https://2.bp.blogspot.com/-5GYdOyRzpj4/WtSFfZDAKDI/AAAAAAAAFQQ/GUd9n4DNcOEPUb8SMvLSTuDYp-3vlzhDACLcBGAs/s400/1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-5GYdOyRzpj4/WtSFfZDAKDI/AAAAAAAAFQQ/GUd9n4DNcOEPUb8SMvLSTuDYp-3vlzhDACLcBGAs/s72-c/1.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/kilichoongelewa-leo-bungeni-kuhusu.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/kilichoongelewa-leo-bungeni-kuhusu.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy