http://www.geofreymedia.com/p/wasiliana-nasi.html

Majambazi wavunja kanisa na kuiba sadaka Dar es salaam

Usiku wa kuamkia leo Aprili 05, 2018 majambazi wamevunja Kanisa katoliki katika Parokia ya Mtakatifu Theresia, Mbezi Mwisho jijini Dar es...


Usiku wa kuamkia leo Aprili 05, 2018 majambazi wamevunja Kanisa katoliki katika Parokia ya Mtakatifu Theresia, Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam  na kupora sadaka na vikombe vitano vya misa.
Kwa maelezo yaliyotolewa na Padre wa Dekania ya Kibaha ya Kanisa Katoliki, Fr Benno Kikudo, amesema kuwa walinzi wa Parokia hiyo walipigwa na kuumizwa ila hawakuweza kuifikia nyumba ya mapadre.
Usiku wa kuamkia leo, mapadre wenzetu wa parokia ya Mt. Theresia, Mbezi Mwisho waliingiliwa na majambazi kanisani. Majambazi walivunja mlango wa sakristia. Wameiba sadaka na vikombe vitano vya misa. Majambazi waliwapiga na kuwaumiza walinzi wa parokia. Bahati nzuri hawakuingia nyumba ya mapadre,ameandika Fr Kikudo kwenye taarifa yake aliyoitoa leo kufuatia tukio hilo.
Tayari Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

COMMENTS

GEOFREY MEDIA TV

https://www.youtube.com/channel/UCChlD-6iNka8I9kmuuZ9MKw
Name

AFRIKA AFYA AJIRA MPYA All Africa News BIASHARA BREAKING NEWS brudani BUNGENI BURUDANI DUNIANI ELIMU FAHAMU HABARI HABARI VIDEO HABARI ZA HIVI PUNDE HUZUNI IKUFIKIE JOB KENYA KIMATAIFA KITAIFA LIFE STYLE MA0NI HURU MAGARI MAGAZETI MAGUFULI MAISHA YA GHARAMA MAJUU MAKALA MAPENZI MASTAA MATOKEO MATUKIO MICHEZO MIKOANI MIX MOHAMMED ALI MOVIE MUBASHARA NAFASI ZA KAZI NEW AUDIO RELATIONSHIP remix REPORT SIASA SIASA KIMATAIFA SOCIAL MEDIA TAARIFA TANZIA TEKNOLOJIA TUNDU LISSU TUZO UCHOKOZI UK NEWSPAPER UKATILI UTAFITI UTANI WA MAGUFULI VIDEO VIDEO MPYA VIDEO:HISTORIA
false
ltr
item
GEOFREY MEDIA: Majambazi wavunja kanisa na kuiba sadaka Dar es salaam
Majambazi wavunja kanisa na kuiba sadaka Dar es salaam
https://2.bp.blogspot.com/-RFd8N-8Tj0Q/WsYYk-U04II/AAAAAAAAFHg/uLZt0DfyG3k2nWmXt0buCRJpD17ZcPllQCLcBGAs/s320/majambazii.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-RFd8N-8Tj0Q/WsYYk-U04II/AAAAAAAAFHg/uLZt0DfyG3k2nWmXt0buCRJpD17ZcPllQCLcBGAs/s72-c/majambazii.jpg
GEOFREY MEDIA
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/majambazi-wavunja-kanisa-na-kuiba.html
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/
http://www.geofreymedia.co.tz/2018/04/majambazi-wavunja-kanisa-na-kuiba.html
true
3773606987198414401
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy